Ujenzi kutumia matofali ya hydraform.

Ujenzi kutumia matofali ya hydraform.

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
65
Wadau naombaushauri wenu,
Tunataka kujenga nyumba,
But tunataka atleast kwa kiasi kidogo kupunguza gharama za ujenzi.
Vipi kuhusu matofali ya hydraform?
Kwa yeyote anayefahamu, tafadhali naomba mchango wako.
Kutumia haya matofali kunapunguza gharama za ujenzi?
Vuipi kuhusu quality?
 
Hebu jaribu kutembelea:

h
 
Last edited by a moderator:
yakinyeshewa nvua yanapata "kuttu" na kwa sababu ni mabichi na yana matundu, ukuta hupata uozo ndni kwa ndani (mould). hasa kwenye hali ya jot kama pwani ambapo hali ya unyevu nyevu ni kubwa (humidity) . Kazi kwako.

macinkus
 
Mtaalamu unaweza kuelezea vizuri hii analysis yako, tukakuelewa?
 
Kwa jinsi teknolojia yake ilivyo, huacha space nyembamba sana between one brick and another just baada kujenga ukuta, (hii hutokana na ukweli kwamba haitumiki cement kati ya tofali na tofali). Hivyo katika sehemu ambazo zina kiwango kikubwa cha unyevunyevu (Humidity) kuna kuwa na generation ya fungi mdau upstairs kaita "kutu" yuko sawa. Tabaka hili la fungi husababisha tofali kuoza au kukosa uimara ndani ya muda mfupi hivyo kushindwa kuhimili eccessive load then ina results into fatigue. (Mchoko ghafla)
Angalizo:
Sababu kubwa ya effects hizi is due to low proffessions and lack-of-know-how, hivyo unashauri wa uwaone wataalam halisi wa tekno;ojia hii ya Hydraform
wao hujua jinsi ya kuzuia madhara kama haya.
Faida:
Itumikapo teknlojia sahihi ikiwa ni pamoja na kutumia Beams katika pembe, matokeo yake ni mazuri na imara kupita maelezo ijapo kuwa Gharama huwa kubwa
due to construction of beams na jamvi katika floor pamoja na humidity protective sheets/materials katika msingi. cement na kokoto nyingi hutumika katika
eneo hili.
Samahani wadau mimi si mtaalamu sana but to my level best huu ndio undani rahisi wa technonlogy hii. Usitumie mafundi wa mtaani wengi hawajui sana kuhusu hydraforms watakutia hasara. Special thing needs special people
 
Plastic sheets za ujenzi zinapatikana Tanzania, na wapi?
 
Asanteni sana, mmenipa mwanga sikuwahi kufukiri hili kabisa,
 
Back
Top Bottom