Ujenzi huu unafaa?

Ujenzi huu unafaa?

The atlantic

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2023
Posts
458
Reaction score
783
Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
 
Wasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?

Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
Zipo nyumba kibao tu zenye concrete roof ambako huko juu unaweza pia kupatumia kwa kazi nyingine, ila nadhani ni gharama sana, kama unataka kukimbia gharama sio option nzuri ezeka na bati tu
 
Zege sio gharama sana kiongozi? Nondo, kokoto, mesh, zege lenyewe lakini after hapo huwezi acha zege likae uchi utapaua tena! Paua kawaida tu
OK. Kuna zile nyumba huko arabuni unakuta hazina mabati wao wanajenga vipi? In fact nazipenda and I just want to give it a try
 
Back
Top Bottom