Taifa Digital Forum
Member
- Jun 4, 2022
- 68
- 184
Aisee hujui adha iliyokuwa hapo.Huu mradi na hasara kubwa
Mbonga la Kilaza wewe,, inatakaiwa sasa serikali iweke utaratibu WA kutoka magari kama tulivyokuwa tunatoza Kwenye ferry ili kurudiha pesa husika.Tufanye kama kigamboni na TanzaniteHuu mradi na hasara kubwa
kwani la Tanzanite lina ushuru?Mbonga la Kilaza wewe,, inatakaiwa sasa serikali iweke utaratibu WA kutoka magari kama tulivyokuwa tunatozanye ferry ili kurudiha pesa husika.Tufanye kama kigamboni na Tanzanite
Umetukan?umeunga mkono?au umepinga?Mbonga la Kilaza wewe,, inatakaiwa sasa serikali iweke utaratibu WA kutoka magari kama tulivyokuwa tunatoza Kwenye ferry ili kurudiha pesa husika.Tufanye kama kigamboni na Tanzanite
Adha ipi ? Huwezi peleka karibia USD 1 billion kule swekeni.Aisee hujui adha iliyokuwa hapo.
Kuunganisha Mkoa wa Mwanza na Mikoa ya Magharibi pamoja na Nchi jirani za Rwanda na Burundi na DRC ndio unauita "uswekeni"?Adha ipi ? Huwezi peleka karibia USD 1 billion kule swekeni.
Ukabila tu na kukosa exposure ndio kunafanya msifu haya
Ila siku mayatima na marehemu wengi wakifia kwenye vivuko hapo kutakuwa na return ya hao marehemu.Hilo eneo lina return ya kutosha kiasi cha kutumia fedha zote hizo kwenye ujenzi wa hilo daraja?
NB:- Naomba mtu atakaye jisikia kunijibu, basi ajikite zaidi kwenye hoja yenye ushawishi. Maana sina uelewa wowote na hilo eneo la Kigongo-Busisi.
Mbona hamnaga akili eti swekeni! wewe kwenu ni wapi?halafu unapajua Kigongo_busisi?Adha ipi ? Huwezi peleka karibia USD 1 billion kule swekeni.
Ukabila tu na kukosa exposure ndio kunafanya msifu haya
Wewe unapajua Kigongo_busisi au unaongea upuuzi tu.Huu mradi na hasara kubwa
Hio ni njia kwenda Uganda, Rwanda, Burundi, Congo n.kHilo eneo lina return ya kutosha kiasi cha kutumia fedha zote hizo kwenye ujenzi wa hilo daraja?
NB:- Naomba mtu atakaye jisikia kunijibu, basi ajikite zaidi kwenye hoja yenye ushawishi. Maana sina uelewa wowote na hilo eneo la Kigongo-Busisi.
Unadhani kila mradi unaojengwa lazima urudishe fedha? Faida siyo fedha tu hata kusaidia kutoa huduma ni kitu muhimu. Ndiyo maana kuna hospitali, nyumba za watumishi zinajengwa na hazirudishi gharama lkn zinatoa hudumaHuu mradi na hasara kubwa