Ujengaji mwengine unatisha jamani

Ooyooo sisi wanadamu ni kama mizuzu na hii ni hoteli kubwa sasa wakaona bora tutengeneze dude la mamba kama ngazi ili wateja waje kwa wengi na kwa mtindo huu watakuja tuj
 
Hiyo ni picha imechorwa ukutani na siyo limebumbwa!
-Tazama kivuli cha ngazi na mistari ya milango na mabomba ya kutelemsha maji taka. Ni usanii wa aina yake.
 
Huyu jamaa ni artist mzuri maana utafikiri kweli kamuweka halafu jengo halikaliwi na mtu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…