Ujauzito wa miezi nane kulikoni..................!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujauzito wa miezi nane kulikoni..................!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by bakuza, Dec 20, 2011.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikisikia toka kwa watu wengi kuwa mimba inapozaliwa na miezi sita na kuendelea mtoto anaweza kuishi isipokuwa ikizaliwa ikiwa na miezi nane mtoto hawezi kukua.Hapo ndipo nashindwa kuelewa iweje mimba ya miezi sita na saba mtoto akizaliwa anaishi na huyu ambaye ana miezi nane asiweze kuishi.
  NNaomba msaada wa kujuzwa hilo.
  :juggle:
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Biology huku soma.?
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  ... Kifupi nijuavyo,ukuaji wa mtoto
  huwa unakamilika kwa baadhi ya vitu muhimu akifika umri wa miezi 7.
  Hivyo hata akizaliwa kipindi hicho hakuna tatizo,ila huitwa Pre- mature [ njiti kama waliowengi walivyozoea kuita ],na akiwekwa katika uangalizi mzuri,atakua bila matatizo.

  ... Ila asipozaliwa katika kipindi hicho anaingia katika hatua nyingine ya ukuaji [kuanzia huo mwezi wa nane] ili awe Mature. Katika hatua hii ya ukuaji ambao
  unapaswa kufanyika ndani ya tumbo la uzazi,ikitokea mtoto akazaliwa hapa katikati[miezi 8] uwezekano wa kuishi ni mdogo,kutokana na sababu baadhi ya vitu muhimu vinakuwa havijakamilika na vitasimama katika ukamilifu [growth].
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu ungeweza kuipotezea tu kuliko kutoa jibu hilo........
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....Hili tatizo lipo developing countries kwa sababu ya ukosefu wa vifaa, developed countries watu wanazaa mimba ya miezi 5 na mtoto anasurvive.
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ... Kwa nyongeza tu,
  this is not biology,hiyo ni
  Pure Medicine.
  Hatuwezi kuwa wote kichwa. Wengine watakuwa kifua,mikono,miguu... n xo n xo!
   
 7. p

  pilu JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jipange!
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kuanzia wiki 28 ya ujauzito mtoto akizaliwa anaweza kuishi. Kwenye sayansi ya viumbe huwa hakuna specific figures kwa hiyo hizo wiki 28 ni average kwa population.
  Wiki za ujauzito huwa zinaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya mwisho ya hedhi ya mwisho.
   
 9. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kusoma biology si kujua kila kitu mzee wa lubisi, nadhani haya majibu si yako bali ni ya lubisi
   
 10. screpa

  screpa JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2015
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 5,623
  Likes Received: 7,239
  Trophy Points: 280
  kweli we Mzee Wa Rubisi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...