Ujasusi wa Marekani mashaka kwa Tanzania.

Ujasusi wa Marekani mashaka kwa Tanzania.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,455
Kama Majasusi wa marekani wameweza kunasa mamilioni ya mawasiliano ya simu za viongozi wa nchi kubwa za ulaya kama ujerumani Angeller Markell na Ufaransa,je hali ikoje kwa mawasiloano ya ikulu ya Tanzania?
 
...unashangaa kudukuliwa simu na email ? Mbona obama tulimkabidhi nchi yote wakafanya watakavyo,tena kwa hiari yetu...
 
Asilimia kubwa ya viongozi wa nchi maskini hupewa tahadhari za kiusalama na NSA, sasa wasipofuatilia vijisimu vyetu viongozi watapewa nini? (achilia mbali self defense kwa USA)
Ni hulka tu, kila mtu anapenda kujitegemea hata kama Hana uwezo. Halaf tunakua wa kwanza kuomba msaada wa kiintelijensia.
Labda cha kushangaza ni sie kua katika kundi moja na hao kina France, Germany n'k
 
Ikulu yenyewe inatumia email yenye domain ya yahoo

Na usikute mukulu simu anayotumia kwenye mambo ya kiofisi ni zile Samsung galaxy tunazonunuaga pale kariakoo
 
Back
Top Bottom