Ujasusi Sebuleni Kwetu

Najiuliza sana katika hii list inakuaje jina la "upepo wa pesa" halipo? Niweke na mm niwe napata alert chakula kikifika jukwaani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu heshima kwako! Hatubishani mimi pia ni mpenzi sana wa story zako kwa kweli ni nzuri sana. Kwa burudani unatisha. Kuna huyu jamaa EDWARD SNOWDEN najua utakuwa unamwelewa sana, swali je, unamwamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…