Putin alichokifanya 2016 kasaidia Russia kupata influence kiasi flani katika mashariki ya kati kwa kitendo cha kusimama na Bashir Al Asad hadi mwisho.
Marekani pia ameweza ku'influence election to his favor. Ulaya vyama pinzani vingi vyenye mrengo wa kulia inasemekana kavikopesha mabilion ya pesa. Hii itasaidia Russia kuondolewa vikwazo vya uchumi hapo baadaye endapo vyama hivi vya upinzani vikiingia madarakani.
Huko Marekani Trump ameshaahidi kuondoa vikwazo ambavyo tayari Russia amewekewa endapo akishaapishwa January 20.
Bottom Line ni kwamba Putin kasaidia Russia kuirudisha kwenye influence katika siasa za kimataifa.
Ila kiuchumi na nguvu za kijeshi bado Russia ipo katika hali mbaya sana. Ni Super Power in terms of military superiority waliyo nayo katika nuclear bombs lakin kwa technological sophstication na uwezo wa kiuchumi bado sanaaaaa.
Mkuu kwenye uchumi ni upo sawa hali ya Urusi sio nzuri sana kiuchumi lakini kwenye military tech hapa natofautiana nawewe.
Alichokifanya Putin na ndiyo kipaumbele chake ni millitary modernization hapa wamelifanya jeshi lao kuwa imara lenye uwezo mkubwa kuanzia majini, nchi kavu na angani.
wamefanya upgrade ya silaha zao submarines, heavy bomber&fighter jets, tanks, air defence systems.
Kama wangekuwa weak hata wasingeweza kurusha missiles kutoka umbali zaidi ya 2500 kms pale Caspian sea ile si kila nchi inaweza tena kwa kutumia light little warships.
Na lile tukio lina maana gani?
Walitaka kutuma ujumbe kuwa sasa Warusi wanaeza kushambulia na kufika kila kona ya dunia kwa urahisi zaidi kutoka Urusi hawana haja ya kujenga millitary base nyingi na hili linapunguza gharama na kujilinda zaidi na zaidi.
Pia asilimia kubwa ya tech ya wachina wanategemea Urusi yani China bila Urusi itatetereka pia.
Wamewekeza sana kwenye millitary tech sababu wanaamini maadui wao wameapa kuivamia na kuiangusha Urusi pale tu watapokuwa na uwezo huo.
Maadui hao wanashindwa kuivamia sababu tu wanaona hawatoeza ila kama Urusi wangekuwa hawana sophisticated millitary tech tungekuwa tunazungumza mengine hapa.