Bei za hizo chemicals zipoje mkuu?cio suphuric ni salphonic acid,znapatkana kariakoo na kwenye maduka ya wajasiriamali,ukiulzia utaelekezwa.maji ya chumvi hayafai
Mkuu naomba kufahamu juu ya bei ya hizi chemicalsHabari wana jf,Leo nakuletea utengenezaji wa dawa ya kuondoa madoa kwenye vyoo{stain remover}
Vyoo vingi huwa na madoa yanayoleta uchafu wa rangi za njano ,kijani.Huwa vigumu kuondoa kwa kusafisha kwa kutumia aina nyingine ya dawa.
Malighafi zake
1.hydrolic acid
2.Sulphonic acid
3.Maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Andaa chombo chako [tanki au kingine kikubwa] katika hali ya usafi.
Anza kuweka maji lita 35,kisha weka sulphonic acid lita 3,kisha hydrolic acid lita 3,koroga taratibu ,kwa uangalifu kwa muda wa dakika 15 baada ya apo itakuwa tayari kwa matumizi weka kwenye vifungashio ukauze
MATUMIZI
Tumia kama ilivyo ,mwagia sehemu yenye uchafu na uiache kwa muda wa dakika kumi 10 ndipo usafishe kwa brush huku ukimwaga maji
Haya maduka ya wajasiriamali yapo mtaa ganicio suphuric ni salphonic acid,znapatkana kariakoo na kwenye maduka ya wajasiriamali,ukiulzia utaelekezwa.maji ya chumvi hayafai
Okee, nashkuru sana mkuu kumbe co bei ghali sanasulphonic acid 8000kwa lita ,hydrolic acid 6000 kwa lita mpaka 8000
Asante ndugu, Nina mpango wa kujifunza mambo ya ujasiriamali, tatizo sijui wapi naweza kujifunzia na nikaelewa vzuriOkee, nashkuru sana mkuu kumbe co bei ghali sana
Sawa ndugu, hata ivo nashkuru maana umenipa mwanga mzuri. Nashkuru sanakumbe,ningewez kukfundisha tatizo ni muda