Wanaume bwana!! No wonder hata kuendesha ndoa na familia kumewashinda siku hizi. Hivi zile akili mliziacha wapi??
I wish mkumbuke mlikoziacha mzitumie hata kidogo tu.
Ahaha kwenye mazingira hayo mm huwa nawazaga mambo ya kufa kufa ..ya kikanumba.akinifia humu itakuaje???ndio mana huwa sizipendi hiz mambo.acha nijilie vyangu vya halali tu