Ujasiri wa Mwanafunzi Monica mbele ya Rais mfano bora wa matunda ya demokrasia

Kuna ajabu gani kafanya...

Mbona kawaida sana.

Kwa form six ni sawa kabisaa..
 
Hongera kwake binti Monica mwanafunzi wa kidato cha tano shule za Kata Nyamongo wilayani Tarime.Ametumia vyema fursa adimu aliyopewa na Raid JPM kueleza kero.Ni mfano bora wa matunda ya democrasia iliyojengwa kwa miaka.Leo hii Kuna wajinga wachache wanatamani kuua mfumo huu.Nimeshuhudia mkurugenzi wa halmashauri akiongea kwa hofu mbele ya Rais,ni alama mbaya kujenga taifa la wanafiki na waoga.

Hizo fedha sizikakomboe viti na meza za makonda? Haingii akilini tunauza madawati bandarini halafu tunachangisha fedha za kununua madawati
 
Huyo mwanafunzi mnaemsifia HUENDA amefanyishwa mazoezi ya mwezi mzima
Kudos kwa Monica ,ni jambo jema kwa uwezo wake wa kufundishika.Mbona Kuna MTU yupo Magogoni karibuni mwaka wa tatu sasa,Ila hotuba zake kama anaomba kura,vitisho na ubabe!
 
Kudos kwa Monica ,ni jambo jema kwa uwezo wake wa kufundishika.Mbona Kuna MTU yupo Magogoni karibuni mwaka wa tatu sasa,Ila hotuba zake kama anaomba kura,vitisho na ubabe!
Ndo maana wanapata zero kachanganya point na pumba. Yeye angeomba walimu madawati na vitabu. Sasa ambulence nchi hii ina shule 3784 za serikali kila shule haiwezekani! Sijui elimu ya madini maabara ya jiography. Naona mkuu kaamua kumpotezea kwa kuendesha harambee
 
Sasa jifanyeni kujali wanafunzi na majengo waacheni walimu maslahi Yao,elimu inakufa.
 
Back
Top Bottom