Ujasiri wa Hajjat Amina Said? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujasiri wa Hajjat Amina Said?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Madabwada, Mar 26, 2010.

 1. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli nimependezwa sana na uwajibikaji wa huyu mama, last week aliamuru kufungwa mara moja kwa shule ya sekondari ya Bundikani huko kibaha baada ya kugundulika wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini, lakini pia jana ameamuru kukatwa mishahara kwa watendaji wazembe wa kisarawe.

  Naomba tu isiwe just a move to gain popularity ili baadaye atimize azma yake ya kuwa mbunge (ameshatangaza azma yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mwaka huu - 2010) na pengine kutimiziwa ahadi nyingine alizoahidiwa baada ya kuukwaa huo ubunge. Binafsi nitafurahi kuona huu moto aliouanzisha basi awe ana maanisha. Kwa sasa nakupa hongera mama lakini ......!!


   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,203
  Trophy Points: 280
  kimsingi kama ndivyo alivyo; hafai kuwa Mbunge wa kawaida. Anatakiwa kuwa mbuneg wa kuteuliwa halafu anapewa uwaziri wa kusimamia matokeo.. we need results oriented leadership..
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Kukata mtu mshahara sio kinyume cha sheria?
   
 4. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 10,887
  Likes Received: 3,252
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya watz watu wa ajabu sana siku hizi,mtu anavunja sheria the great thinkers tunakuja hapa kusifia!

  Kwani huyu mama ndiye Waziri mkuu wetu?Huyu mama hivi sasa ndiye waziri wa UTUMISHI?huyu mama ndiye waziri wa TAMISEMI?

  kama hana nafasi hizo 3 nilizotaja juu,basi kwa madaraka gani ndani ysa katiba ya jamhuri ya tz inayompa nguvu kufanya haya aliyoyafanya kwa maafisa wenzake wa serikali kuu?

  Namshauri kama lengo lake ni kujitutuma aonwe na wananchi wa kiteto ili wampe ubunge afanye hivyo bila kuvunja katiba,na kama anataka sana kukata watumishi mishahara yao basi afanye hivyo kwa house girl/boy wake(kama anao),maana hao ndiyo wapo chini yake kiuajiri !
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi hata ukisimamishwa kazi unakula msahara full...sasa hawa si wako kazini?Halafu DED unamchambua mbele ya kikao...kazi kwelikweli..wakikakwa hiyo mishahara anapewa nani hayo makato?
   
 6. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nadhani tutakuwa tumetimiza wajibu wetu pia kama tutaweza kumshauri endapo tu hii motive yake ina nia njema na nchi hii .... tusiishie tu kukatisha watu tamaa, kulalamika na kulialia hovyo ... we need solutions jamani!
   
 7. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  malafyale ... you can do better than this ... !!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Bahataji mbaya watendaji wetu hawa hawaendi na nayakati.Haya ni maamuzi ya 1980s...kama sikosei huyu mama alikuwa Iringa kabla ya pwani na alileta taabu na mabo ya lumbesa na vipimo vya mazao...yeye ni mtu wa statistics nadhani..jaribu kufikiri mkuu wa mkoa(sio huyu) anapoamuru kila mwanakijiji alime ekari 4 za muhugo..halafu waupeleke wapi..hawawezi uziana maana kila mtu anao...hawawezi safirisha barabara hakuna...matokeo yake kuozea shamba..ukilima mahindi ukavuna mabichi unakamatwa...unazuiwa lumbeza wakati tatizo ni upungufu wa magunia
   
 9. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 10,887
  Likes Received: 3,252
  Trophy Points: 280
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Interesting..

  Najiuliza watakataje mishahara wakati inapitia Benki kutoka Hazina...Nasikia dalili ya sarakasi na muwasho wa upupu hapa.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Ngeleja nae akatwe mshahara....mbona mgao umerudi?
   
 12. a

  alibaba Senior Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  MM,
  Hata akipitia kwetu Wananchi, si bado Muhusika wa wakati huo anaweza kumtunuku hiyo nafasi kulingana na uwezo wake? au taratibibu zinasemaje!
   
 13. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 14. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu inawezekana pia alitamka hivyo akiwa anaamini kuwa wana-share the same opinion na ngazi husika za maamuzi za hao maafisa na hivyo atalifikisha hilo suala huko e.g waziri husika and the like.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  But that is neither the procedure nor permitted by the new labour act....I hope that it was just a blip of the tongue
   
 16. a

  alibaba Senior Member

  #16
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ab,
  Ikiwa ana Dhamira ya kweli , ni kiasi tu cha kuwaandikia Hazina. Tatizo laweza kuwa la kisheria (pengine) Je ana mamlaka ya kufanya hivyo kisheria?
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Binafsi ningemuona wa maana kama angawakatalia safari na fedha za vikao hususan kwenye ile miezi ya kufunga mwaka wa fedha lol...maana hapo ndo hawa wahishimiwa wanapopiga bao la kisigino. Unambana mhasibu akupe mahesabu ktk kipindi cha utekelezaji wa adhabu..

  Otherwise hizo ni kauli tu za kuelekea uchaguzi, kila mtu anaangalia atoke vipi.
   
 18. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  anajiamini...ni shangazi yake mkulu
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Amina MRISHO Said
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  kweli umefulia saaana kisiasa na nadhani una homa ya uchaguzi... hata kama anakosea, umeiweka vibaya!!!

  Ninajua unaelewa role na nafasi ya mkuu wa wilaya au mkoa!! na unaelewa vyeam decentralization ya utawala wetu --- you disappoint me on this argument
   
Loading...