Ujasiri Binadamu kueleza wa Aibu za Wengine

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
906
Reaction score
790
Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…