Ujanja wa kuona picha JF kupitia simu

Ujanja wa kuona picha JF kupitia simu

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
623
Reaction score
378
Wakuu ni siku ya pili leo nashindwa kuona picha zilizotupiwa JF za matukio mbalimbali. Natumia Nokia Asha 200 na kabla ya hapo nilikuwa nazipata bila shida. Nikiingia mitandao mingine kama Facebook Twitter nk naona picha vizuri isipokuwa JF.Wataalam wa jukwaa hili nisaidieni.
 
Hata mimi nilikumbana na hili tatizo kwenye Opera, nikahamia Maxthon naipata vizuri.!
 
uc browser saa nyingine haifungui ikamaliza kama mtandao sio mzuri. tumia operamini uinjoy.
 
Back
Top Bottom