Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Hali isiyo ya kawaida: siku moja mke alitumiwa SMS ya kukataliwa na aliekua mchepuko wake. Aliisoma mbele ya mumewe na akaanza kulia alipoona amepigwa chini na mchepuko wake huo.
MUME: Mbona unasoma kwa huzuni hiyo SMS hadi unalia?
MKE: Mama amenitumia SMS akinifundisha kupika pilau na nilipofika hatua ya kukata vitunguu ndio vikaniliza kama ilivyotabia ya vitunguu.