Ujangili na Biashara zisizoeleweka: Ni nani huyu - Mohsin Abdallah(Sheni)?

You can never be lonely with jamii forums within your reach.....watu wanafurahisha je, kila data wako nazo,ndio maana naipenda sana hii forum wajameni
 

Mkuu Asante sana kwa Taarifa yako nzuri sana , itatusaidia sana .
 

...haki ya mtanzania shahidi Mungu ...umetunguwa kama Basilisilona linavyotunguliwa na Bayani Munisi....
 
jamani kuna m2 anajiita CCM ORIGINAL,,,huyu m2 hafikiri kabisa anapowasilisha hoja zake,,-Wadau hata kama analipwa lakn kuna baadhi ya mambo tunatakiwa kuweka mbali ushabik wa kisiasa,,,MTANZANIA UNATAKIWA KUWA NA UCHUNGU NA NCHI YAKO.

Unaambiwa ni afadhali njaa itapoa kwa kikombe cha uji , lakini Dhiki ni balaa ! Lazima ujidhalilishe ! Hiyo ID ni kati ya nyingi zinazomilikiwa na mtu mmoja .
 
Enzi ya Mwalimu 'CCM chama cha wakulima na wafanyakazi' Enzi ya sasa 'CCM kampuni ya mafisadi' Hao akina Mohsin Abdallah ndio wanaoimiliki CCM ya sasa kama kampuni yao inayotawala Tanzania
 
yeyote si lazima awe CCM.
Huyu Mohsin Abdallah Sheni, akishirikiana na Azim Premji, walishughulikia kuondoka kwa Castico kwenye Ukatibu wa CCM wa Mkoa mwaka Septemba 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi.

Kisa ilikuwa ni kwamba Viongozi wengine wa Kamati ya Maadili ya CCM mkoa wa Kigoma, akiwemo Joseph Simbakalia, waliweka pingamizi kwa mgombea ubunge Jimbo la Muhambwe (CCM) mwenye asili ya kiasia kwa jina la Jamal Abdallah Tamim, kwa hoja kwamba mtu huyu si safi. Wakati wahusika wa biashara ya viungo vya maalbino wanatafutwa, wananchi wengi zaidi wa Kibondo walimtaja Jamal kuhusika na biashara hizo. Pia Jamal alishahusishwa na utekaji wa mabasi uliokuwa unatokea sana mkoani Kigoma. Jamal pia alikuwa na kesi dhidi ya Padre Mmisionari wa Parokia ya Mabamba (Padre Adrian Jimenez), ambae Jamal alimshtaki kuwa anamchafulia jina kuwa yeye ni jambazi.

Kwa ushawishi wa Mohsin Abdallah Sheni na Azim Premji CCM makao makuu, hasa kwa Rostam Aziz (wakati huo akiwa na nguvu sana CCM) na JK, Castico alihamishwa katikati ya kampeni na kurudishwa makao makuu, ili kutoa nafasi kwa mgombea anayependwa na Mohsin Abdallah Sheni na Premji asibugudhiwe.

Hii ilikuwa sababu kubwa ya CCM kuambulia viti 3 kati ya viti 8 vya ubunge mkoani humo. Na hata wana CCM wengine waliokuwa wanakipenda chama walikatishwa tamaa na kulindwa kwa mafisadi hao mkoani Kigoma.
 
Yaani hiyo point ya kimasikini namna hiyo ndiyo inakufanya ukeshe Jf ? Mbona madaraka ya Mamaako mdogo yanakutesa namna hiyo ? jifunze kujitegemea bhana !
Kamanda wazoee tu hao, hao ni cheap labourers wa Lumumba humu ndani limemwagwa genge la watu kama 1000 hivi kazi yao ni kuparamia kila point inayotolewa against CCM. Hawa jamaa nadhan watasababisha watu waachane na JF mana wanajamba sana mawazo humu ndani, yani wanaipotezea sifa JF mtandao wa kijamii wa watu makin.
 
Unaambiwa ni afadhali njaa itapoa kwa kikombe cha uji , lakini Dhiki ni balaa ! Lazima ujidhalilishe ! Hiyo ID ni kati ya nyingi zinazomilikiwa na mtu mmoja .
Kwa kweli itabidi tudeclee tu kuwa Lumumba mob ni janga la JF, mimi nadhan hawa watu ni mafukara kabisa maana dhiki ina afadhali kidogo.
 
can't believe Hiltop hotel Kg ni ufisadi mtupu! Tanzania ni balaa tupu.
 
if that is the case inakuwaje hataki pombe kuuzwa pale hil top.
nlidhani ni mtu swafii wa swala tano.
tulikua tunakunywa sun side au sandra au website kisha tunarudi kulala au kuogelea pale
kigoma raha wajamini.
 
Hivi huyo analipa kodi ya pango ya Hoteli ya TARANGIRE RIVER CAMP kwa Idara ya Wanyamapori au Burunge WMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…