major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 2
tafuteni na nyie fwedha
tafuteni na nyie fwedha
Ndio hivyo sasa tutakuja kuzipata wakati tushakua na umri kama wa huyo jamaa anaeambiwa ""we ujana uanze na nani uzee umalize na mie""tafuteni na nyie fwedha
tafuteni na nyie fwedha
bht: You made my day shosti.
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamojatafuteni na nyie fwedha
sisis....hatuna kituu...sisi hatuna kitu
fwedha tukizitafuta hadi tuzipate, tunakuwa 'wazee' tayari,
na nyie mnakuwa ndo ivo tena sio vijana ki ivyo,
inabidi tuwatafute wadogo zenu au?
sisis....hatuna kituu...sisi hatuna kitu
fwedha tukizitafuta hadi tuzipate, tunakuwa 'wazee' tayari,
na nyie mnakuwa ndo ivo tena sio vijana ki ivyo,
inabidi tuwatafute wadogo zenu au?
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
Una maanisha hapendwi mtu, inapendwa pesa yake siyo? Na wezee ndiyo wenye pesa !!
Tusubiri tu na sisi tutakapofika uzeeni na kumiliki PRADO tuwe na Sugar daddy za watoto wa hawa hawa akina bht wanao encourage pesa mbele zaidi ya UTU
unaimba au (ushaanza kujitangaza)
kwani mnalalamika nini?? mnatoswa kwa vile hamna hela.....nendeni mkazisake mrudi mjitwalie manowataka (kama ni wadogo zetu hayaaaa....)
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?
sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
poa tu najua hutafuti mamii,mama mia ana soo nimeghairi,kwanza simuoni nieona mahali kama kapigwa ban vile.BK vipi tena kwani nimekwambia mie natafuta?? Mama mia vipi?