Hello wana JF,,
Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"?
Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo!
Je ujana huo kuwa wa moto unaleta mitazamo chanya au hasi katika jamii inauokuzunguka?
See you at the top; karibuni wataalamu.😙🙃