H/ri za mda huu wanaJF wote!
Nimekuwa na mijadala huku mtaani,kuhusu maisha kwa kuuliza watu wa lika mbalimbali!KUHUSU UJANA MZURI,kwani kuna tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa kuna mambo ucpoyafanya Ujanani mbeleni utayarudia,,!! Karibuni tupeane Elimu ya maisha! Asanteni