Ujana Maji ya Moto

Ujana Maji ya Moto

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,507
Reaction score
45,129
11037567_10204988708650189_4419247929759288090_n.jpg







Nafikiri walikuwa kwenye Chorus wimbo wa Dada Remy Enzi za Shem Kalenga, Baby kaamua kutoa na viatu kabisa utamu ukanoga ili kusakata Rumba sawasawa na Husband wake - kweii UJANA maji ya moto - yakishapoa kwisha habari.
 
Umenikumbusha Mbali Ngoja Nimwamushe Bibi Yako Tulisakate Rhumba La Shem Kalenga
 
Rhz4567 Marhaba Kijana Habari Za Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom