Ujana maji ya moto

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
Una miaka zaidi ya 25 hujui gharama ya kitu chochote zaidi ya INSTAGRAM PARTY, BEACH PARTY, AFTER SCHOOL BASH nk hujui bei ya mchele wala unga. Wewe unajua bei za BUNDLE, SUPRA, WIGI na chips mayai.
Wenzio wanawaza HELA na KAZI wewe unawaza KUPIGA SELFIE kupost fb na insta siku ipite ukaazime Cd kisha ujiunge na BUNDLE.
Kubwa zima eti unajisifu wewe ni admin wa magroup 10 ya WHATSAPP wakati wenzio wanajisifu wamepandishwa vyeo kazini na MSHAHARA.
Mtu anajua history ya Diamond kuliko history ya babu yake aliyoko NANJILINJI. Hebu amka huko, ukubwa sio kuvaa tisheti za BORN 2 SHINE au WASAFI CLASSIC.
Amka! chemka kijana ufanye mambo ya maana jamii ikutambue.
 
Kama umri wao unawaruhusu waache wafanye tu... Ili kuepuka kuyafanya hayo ukubwani au uzeeni...
 
Sio siri uchawi siku hizi ni mwingi usiwalaumu vijana.Kwamfano hivi nyimbo ya Darasa ya "MUZIKI" ina uzuri gani?
Lakini angalia watu walivyochanganyikiwa
 
Una miaka zaidi ya 25 hujui gharama ya kitu chochote zaidi ya INSTAGRAM PARTY, BEACH PARTY, AFTER SCHOOL BASH nk hujui bei ya mchele wala unga. Wewe unajua bei za BUNDLE, SUPRA, WIGI na chips mayai.
Wenzio wanawaza HELA na KAZI wewe unawaza KUPIGA SELFIE kupost fb na insta siku ipite ukaazime Cd kisha ujiunge na BUNDLE.
Kubwa zima eti unajisifu wewe ni admin wa magroup 10 ya WHATSAPP wakati wenzio wanajisifu wamepandishwa vyeo kazini na MSHAHARA.
Mtu anajua history ya Diamond kuliko history ya babu yake aliyoko NANJILINJI. Hebu amka huko, ukubwa sio kuvaa tisheti za BORN 2 SHINE au WASAFI CLASSIC.
Amka! chemka kijana ufanye mambo ya maana jamii ikutambue.

Yanafaa kunyonyolea kuku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom