Ujana harakati, uzee maono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujana harakati, uzee maono

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkomelo, May 28, 2011.

 1. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Ujana harakati uzee maono", maneno hayo yalisemwa na mzee shibuda sikuyaelewa.
  Maono na harakati kwanini vilihusianishwa na umri? Au ndo kusema vijana hawana maono au wazee walio wanaharakati si wazee?
  Natafakari tu tutafakari pamoja
   
 2. A

  Albimany JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45

  VIjana ni wapambanaji na ni watu waharakati lakini wazee ni watu wenye muongozo mzuri (maono) wanaangalia vitu kwa umakini na mbali zaidi kulingana na uzoefu wao wa maisha.

  huo msemo haukuwadharau vijana bali umeonyesha ili malengo yafikiwe ni lazima vijana wajitolee nguvu zao na wazee watoe mawazo yao katika kufanikisha malengo yaliokusudiwa.
   
 3. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wonderful analysis. Thanx mkuu
   
Loading...