Ujana ccm uzeeni chadema

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
ee50fc0f57298f6f8c41935e5616a417.jpg
 
Nchi sio nyumba ukajua materials yalotumika yote ktk ujenzi wake, wala si kampuni ukajua majukumu ya wafanyakazi wote, nchi ni Mama taasisi nyingi, kuanzia wizara, majeshi, habari, propaganda, ujasusi nk, sina ninachokishangaa hapa ni majukumu tu ktk kulijenga taifa letu likue. Ikumbukwe watanzania wengi walipowekewa ulazima wa kuwa na vyama vingi, wengi walivipinga kwa kura. Busara ya viongozi zilitumika, ulidhani hawakukaa chini na kubuni njia ya kuwarubuni hao, wakaviruhusu tu kienyejienyeji ka mazuzu? Wajinga ndo waliwao.
 
mpaka tuna shindwa kushangaa kwann wasingetoka bado wakiwa vijana ili harakati ziwe bora kabisa wamengoja kushiba kwanza ndiyo wametoka kweli maajabu katika nchi hii yatazidi kuonekana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom