Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
Huo usla kauongelee msikitini, hapa utaonekana ni ni mjinga na utapuuzwa. Watu wana dini zao wanazoziamini ukiwaletea uislam watakuona una ufahamu mdogo juu ya mambo ya dunia hii