MaliziaEnyi makafiri
Hamuabudu tunayemuabudu sisi
Na wala sisi hatuabudu mnachokiabudu nyinyi
Nyinyi mna dini yenu, na sisi tuna dini yetu
waislam na wakristo mtagombania miungu,kila upande na Mungu wao LAKINI SHETANI NI WA WOTE 😆😆Malizia
"Na nyie mna Mungu wenu na sisi tuna Mungu wetu" Allah Akbar.
Kifo kina husiana nini na dini?Futa pia kifo kisiwepo, hapo ndio unaonekana wewe kiongozi mzuri, tuishi tu