Uislamu majaribuni

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,694
Ninaiwasilisha kama ilivyo
 
kwani katika uisilamu hakuna waovu.
 
dini hairuhusu hiyo kitu ,kama kafanya ni uhuru wake tu binafsi
 
Majaribu gani? Huyu alifanya ujinga wake ndio yupo majaribuni.
 
Kila umma una Historiya yake kuna Mazuri na maovu.Nasi katika karne hii yetu tuna wazuri, Wema na wabaya.... at the end of the DAY kila binaadamu na Nafsi yake itabeba matendo yake. Tunasamehe na kusamehewa katika uaamuzi wa muumba.
 
Nipo katika mishemishe;
Na nina haraka kidogo
Ntarudi.

Bazazi
 
Sasa kabadili vipi jinsia!
Kaweka mbunye na maziwa au?
...
Hapa tufikie vizuri!
Huyu hakuwa Muslim, kajibadili, then kagundua, he was wong! Also kagundua Islam is right path!
Jee abaki huko huko?
Tusiwe Waungu watu hapa!!!!
How if katubu but hawezi kujirejesha M/me?
Ngoja nisubirie Muslim GT!!!!

Ninaiwasilisha kama ilivyo
 
Nilidhani ni gazeti kumbe ni kijarida cha udaku cha wavaa kandambiri!!
 
Hizo habari si zilianzia uarabuni huko waarabu ndo wana tabia za kuwageuza wanaume wenzao so sioni hatari hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…