Uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje

Greg50

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
1,987
Reaction score
2,502
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa kama Serikali inaruhusu uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje ya nchi.
 
Naomba kujua kama nondo pia zinakubaliwa
 
Ninachofahamu ni kuwa Mh. Raisi alipiga marufuku uingizaji wa raw Materials ambazo zinapatikana nchini na hasa katika viwanda vya saruji, sina hakika na clinker kwakua sio raw material japokuwa ni zao la raw materials.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa kama Serikali inaruhusu uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje ya nchi.
Coal pekee ndio nimeona viwanda viki import ,na bado nawaza kwa nn maana kuna kipindi nilisikia serikali imepiga marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…