Uingereza yakataa kuiuzia silaha israel

Uingereza yakataa kuiuzia silaha israel

ingekua israel wanawekeza hayo mapesa yao kwenye vitu vingine vya maendeleo, nchi yao ingekuwa another heaven ila wao ni silaha kila asubbuhi, mchana na jion.

Umenena vyema. Bulldog!

Nadhani wangekusikiliza. Wasingepata shida walizonazo.
 
UK watawapa israel hizo silaa bure zitakapohitajika
copy me.
 
Umenena vyema. Bulldog!

Nadhani wangekusikiliza. Wasingepata shida walizonazo.
u cant make peace na wapalstna
tatizo ni kwamba hao hao waplstna wana makundi makundi mengi yanayopingana na hawana common say.

israel ikizembea kuwekeza kijeshi kesho tu inafutwa kwenye uso wa dunia.

naumia kuona watoto waipalestina wakifa ila ebu nieleze ungekuwa top security adviser wa israel ungepigana kwa staili ipi kuepusha watoto deaths while wanatumika kama shield ya wapalestina/
 
Marytina maneno yako ni kama unauma huku unapuliza!

Maneno unayoyasema ndio maneno wanayotumia waisraeli wanapoua wanawake na watoto wasio na hatia!

Issue hapa sio wapigane vipi!
Issue ni kipi chanzo cha fujo na mapigano!

kama ulimwengu mzima wanavyo fahamu Waisraeli ni wizi wa mabavu wa ardhi. Tena sio ardhi tu! Bali ardhi yoyote yenye rutuba ndio wanayoiba!

Sijui kama unafahamu kitu kinaitwa "ethnic cleansing!" Ni utaratibu wa unyanyasaji wa kuwadhulumu wapalestina ardhi na nyumba zao. Na kutenganisha watu wa familia moja kwa makusudi ili wapate kuwaweka chini ya amri yao.
Wameitenga tenga palestina kiasi kwamba mtu akitaka kwenda kimtembelea mama yake mzazi mpaka aombe ruhusa kwa myahudi! Mageti kila kona ya nchi! " remember south africa apatheid! " divide and rules"
Haya si ya kuhadithiwa nimeyaona mwenyewe kwa macho yangu.
Wakristo na waislamu wa palestine wanaishi ktk living Hell. Sababu.!?! Myahudi!

Umoja wa mataifa unapiga kelele za kinafiki. Sababu americans wana support unyama huu.

Kwa hiyo nikijibu swali lako.

Kama mimi ningekuwa Top security adviser wa israel ningemfahamisha waziri mkuu kuwa" Tuwache kudhulumu haki za wapalestina. Na ile tuliodhulumu turudishe kwa wenye haki hio. (Manaake iko siku tutakufa. Na hio ni hakika. Halafu tutakutana na Mungu Mkuu. Tukajibu tulichowafanyia viumbe wengine!)

Na baada ya kusema hayo ningejihudhuru kabisa.na kuhama nchi.

Manake nnafahamu hawato litekeleza hilo na wataendelea kuua watoto mpaka siku Mungu akipenda. Likatokea taifa lenye nguvu likawashinda na kuwaamrisha(sio kuwaomba!) Kurudisha haki ya wale maskini walio wadhulumu.

Na naomba mungu aniweke hai nipate kuiona hio siku!
 
SHIKALAGE hiyo picha uliyoiweka ni ya kijana ambaye alikuwa amejifunga BOMU ili akajitoe mhanga lakini bahati BOMU halikulipuka ndipo alipokamatwa na akari kwenda kuhojiwa ingekuwa Tanzania huyo kijana angeng`olewa kucha.
Hivyo usiweke picha tu na kusema anakandamizwa je una uhakika na usemayo????? kikawaida Waarabu hasa huko Mashariki ya kati wamefundishwa kuwa wa-shari kwa mtu yeyote kwao Vurugu ni njia ya kuwapeleka kwa ALLAH na akifa wakati anamshambulia Myahudi yeye anaitwa SHAHID na anapewa heshima zote kuwa amekufa kishujaa.
Bahati mbaya sana kwako wapalestina wanapigania their very existence of their nation!
 
UK watawapa israel hizo silaa bure zitakapohitajika
copy me.

Marytina: muingereza na myahudi hawana undugu na wote ni capitalist.
Kwa kifupi.
Hakuna kati yao atatoa msaada wowote kwa mwenzake au kwa taifa llt, illa lazima kuwe na maslahi.
Sasa ukiona hawa mabepari wanasaidia mtu. Ujue huyo anaesaidiwa atalipa ziada ya hayo,
Muingereza ni official Christians na myahudi aduibyake number 2 ni mkiristo.
Nimeona wakiristo wa west bank na nablus wanavyo teseka chini ya utawala wa kibaguzi wa wayahudi.

Mpaka sehemu inayosemekana kazaliwa yesu. Kuna wanajeshi wa kiyahudi na silaha. Na sio kulinda hapo bali kuwa harass waumini wanaoingia na kujenga hofu kwa yeyote asiyekuwa myahudi.

Na tawala kama hizi za kibaguzi mwisho wao huwa mbaya sana.

Tunaomba tuone mwisho wao itakuwaje
 
SHIKALAGE hiyo picha uliyoiweka ni ya kijana ambaye alikuwa amejifunga BOMU ili akajitoe mhanga lakini bahati BOMU halikulipuka ndipo alipokamatwa na akari kwenda kuhojiwa ingekuwa Tanzania huyo kijana angeng`olewa kucha.
Hivyo usiweke picha tu na kusema anakandamizwa je una uhakika na usemayo????? kikawaida Waarabu hasa huko Mashariki ya kati wamefundishwa kuwa wa-shari kwa mtu yeyote kwao Vurugu ni njia ya kuwapeleka kwa ALLAH na akifa wakati anamshambulia Myahudi yeye anaitwa SHAHID na anapewa heshima zote kuwa amekufa kishujaa.

umejaribu kuutetea ugaidi
 
uamuzi huo utawafanya wakune vichwa na kugundua mbinu mbadala, kwa wao hilo sio tatizo sababu hata huko zinakotengenezwa ni wao wenyewe mafundi na wafadhili. Kazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom