Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Eneo ambapo moja ya bomu limelipuliwa.
Kiongozi wa Ulinzi na Usalama, Michael Fallon akiongea na Ofisa wa Jeshi alipowasili RAF Akrotiri Kusini mwa Cyprus.
Moja kati ya ndege za kivita zilizoshambulia Syria usiku wa kuamkia leo.
Fallon akiongea na maofisa wa jeshi.
Moja ya ndege hizo ikiondoka.
?.akiamuru ndege kuruka.
Fallon akielezea kilichotokea usiku wa kuamkia leo.
Ndege aina ya Typhon ikiondoka.