zachary na elijah
View attachment 103743
Homosexuality on the Rise in Saudi Arabia - Yahoo! Voices - voices.yahoo.comSasa kama hii si laana ni nini?
Maskini watoto malaika hao hawajui hata kitu gani baba na baba wanakifanya wakiwa peke yao!
Ehh Mungu uliye na Nguvu zote!
Waangamize hawa waliberali na wale wanao washabikia! Uwapofue macho!
Mungu tunakuomba uwadhalilishe hapa duniani na kesho akhera kwa kutuletea uchafu wa wale ulio wateremshia ghadhabu zako!
Wa sodoma na gomora!
Wachomoe roho zao barabarani!
Amiin.
Kwa uzi huu tutawatambua mashoga wa hapa kwetu. Nimeanza kuona dalili...
Huyo malkia aliyesaini kuidhinisha hiyo sheria si ndiye mkuu wa hilo kanisa? Anapingana na kanisa analoliongoza?Uingereza imehalalisha kisheria ndoa za jinsia moja baada ya mswada uliopitishwa na bunge lao jana kuwa sheria kusainiwa na Malkia leo Jumatano saa tisa na dakika sita mchana kwa saa za Uingereza.
Sheria hiyo inajulikana kama Marriage (Same Sex Couples) Act 2013. Ndoa za jinsia moja zitaanza kufungishwa rasmi kuanzia katikati ya mwaka 2014.
Sheria hiyo mpya inaungwa mkono na viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini humo akiwemo Waziri Mkuu wa sasa David Cameron. Cameron alipata upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya wabunge wa chama chake cha Conservative.
Hata hivyo, mswada huo ulipitishwa kiulaini kabisa na kuwa sheria baada ya kuungwa mkono na wabunge wengi wa vyama vya Labour na Liberal Democrats.
Sheria hiyo inaruhusu mpaka ndoa za kidini za jinsia moja, lakini hailazimishi madhehebu ya dini kufungisha ndoa hizo ndani ya madhabahu yao. Pia makanisa, misikiti, nk hayatashtakiwa mahakamani kwa kukataa kuwafungisha ndoa watu wanaotaka kufunga ndoa ya kidini.
Church of England ni moja ya makundi ya kidini yaliyopinga ndoa za jinsia moja.
Huyo malkia aliyesaini kuidhinisha hiyo sheria si ndiye mkuu wa hilo kanisa? Anapingana na kanisa analoliongoza?
Mambo yameharibika ndugu zangu,nipo ulaya kitambo hawa jamaa wameharibika kabisa wanawake wanazini na mbwa kabisa,na wanapiga sim maredioni kuuliza kama kuna madhara ya kiafya kunyonya kitu ya mbwa na mshauri anasema hakuna tatizo ilimradi mbwa wako awe msafi!!,sipati picha ya mwaka 2100yan huku nenda kumbi za starehe utatamani ujinyonge,midume unabusiana wanawake hivihivo wao kwa wao.
Hivi kuna dini tena huko kwa wazungu?
zachary na elijah
View attachment 103743