Uingereza na Rwanda kukabidhiana wafungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uingereza na Rwanda kukabidhiana wafungwa

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Feb 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,772
  Likes Received: 4,913
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  Makubaliano ya kukabidhiana wafungwa kati ya Rwanda na Uingereza yametiwa saini na waziri wa sheria wa Rwanda, Tharcis Karugarama na Balozi wa Uingereza nchini Rwanda, Nicolus Cannon Rwanda...
  Makubaliano hayo yataruhusu watu waliohukumiwa na mahakama yoyote katiak nchi hizo kutumikia kifungo nyumbani.

  Rwanda ndiyo nchi ya pili ya kiafrika kutia saini makubaliano hayo na Uingereza, baada ya Uganda kusaini makubaliano kama hayo mwaka jana.

  Wachambuzi wanasema Rwanda inataka kuonyesha jamii ya kimataifa kwamba inaweza kupokea watu waliohukumiwa na mahakama ya kimataifa ya Rwanda ambayo inasikiliza kesi za washukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 94.

  Mahakama hiyo iliyo mjini Arusha, Tanzania, imekuwa ikikataa kuwakabidhi watu iliyowahukumu kwa serikali ya Rwanda, ikidai kuwa mfumo wa gereza wa taifa hilo, hauwahakikishii haki wafungwa hao.http://www.globalpublisherstz.com/
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...