Uingereza na EURO itakuwaje?

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,340
12,049
Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea kushiriki wakati ishajitenga, naomba nieleweshe
 
Back
Top Bottom