mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
[emoji38] [emoji38]Aisee.. ndugu yangu bado una safari ndefu sana.
Huyu ni pro russia sasa anaanza kutuuliza vitu ambavyo hata havipo kwakweli..[emoji38] [emoji38]
Halafu mwisho anatuambia karibuni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ni pro russia sasa anaanza kutuuliza vitu ambavyo hata havipo kwakweli..
Nadhan vuguvugu la Trump na wadau wake bado linamsumbua
Sasa hivi tena atauliza kwanini US hakuipiga Russia kule Syria[emoji38]Huyu ni pro russia sasa anaanza kutuuliza vitu ambavyo hata havipo kwakweli..
Nadhan vuguvugu la Trump na wadau wake bado linamsumbua
Hahahaahaha!!Halafu mwisho anatuambia karibuni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ipi hiyoAisee.. ndugu yangu bado una safari ndefu sana.
Awez na atoweza Kwasababu Urusi imeshika sehemu katika pumzi ya ulimwengu(silaha za kinyuklia)Uingereza na washirika wake USA na Ufaransa wanadai ukitumia silaha za kemikali lazima wakuadabishe kwa mashambulizi ya kijeshi. Kama ni hivyo kwa nini hawajaishambulia urusi kwa kuwa wanadai imetumia silaha za kemikali kujaribu kumwua yule jasusi ndumila kuwili akiwa uingereza kama walivyofanya Syria? Karibuni wadau tudadavue!
Jidanganye hivyo hivyoAwez na atoweza Kwasababu Urusi imeshika sehemu katika pumzi ya ulimwengu(silaha za kinyuklia)
hakuna ata kuku wa urusi alieguswa na bomu huko Syria habari hii ikufikieJidanganye hivyo hivyo