Hao ndo watu pekee waliotakiwa kwenda kuhudhuria iyo conference.
Gesi ichimbwe Tanzania,Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wakipata maelezo ya maendeleo ya uchimbaji wa gesi asilia nchini Tanzania walipotembelea makao makuu ya British Gas (BG Group), ambayo imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mkoa wa Pwani na Mtwara.
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.
Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.
Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.
Sema we ndo hujui! Kagame na Gordon Brown kabla hajondoka ofisiniMkuu Mungi ukiweka proof ya hili( Kagame na M7) kupokelewa na Daud mwenyewe,,then nitasema jambo
Kwani ndani ya mwaka huu kaenda mara ngapi UK? Baada ya hapo tafakari mwenyewe kwa nini kafanyiwa hivo
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.
Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.
Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.
Ndo mshauri wa rais huyo!watu wengine bwana kujitia wanaelewa haraka matokeo yako mnatoa majibu katika maswali ambayo hamjaulizwa. Jamaa kalalamika alliyempokea ni waziri wa maendeleo ya kimataifa na siyo mkuu wa nchi wala mkuu wa serikali. Sasa unapokuja na mifano ya kina obama na camerun ni kumpotosha mlalamikaji. Ila angelalamika kuwa kpokelewa na waziri mkuu ndipo ulistahili kumpa huo mfano wako.
Mungi,
Nafikiri hujui masuala ya protocol kwa nchi ya Uingereza. PM haendi airport kupokea wageni wake. Nitafutie hata picha moja ambayo rais wa nchi amepokelewa na PM airport. Kiongozi yeyote anapofika hupokelewa na watu wa ubalozi wa nchi yake pamoja na viongozi wa wizara ya mambo ya nchi za nje.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa British Gas (BG Group), Sir Frank Chapman (wa pili kulia) na maafisa waandamizi wa kampuni hiyo. BG Group imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mtwara. Hii ilikuwa ni ziara fupi katika makao makuu ya BG Group mjini Reading, Uingereza ambako Rais Kikwete na ujumbe wake walitembelea Julai 11 kujionea namna kazi za uvumbuzi wa gesi asilia unavyofanywa na kampuni hiyo yenye kufanya shughuli zake katika nchi 21 katika mabara matano, ikiwa na jumla ya wafanyakazi 6,000.
Nimeshtuka nimefikiri kamerun kampenda....anyway hata mimi huwa wageni wa mazoea huwa nakaa chumbani nasema waambie amelala katoka kazini amechokam kumbe nimemchoka mgeni....dhaifu ni dhaifuRais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!
Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!
Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
Kati ya hao watu waliokaa hapo mezani - upande wa Tanzania, nani ni mtaalam wa mambo ya gas?
Hii sio ziara rasmi kwa mwaliko wa serikali ya Uingereza bali ni wageni wa taasisi anayoandaa mkutano aliokwenda kuhudhuria.
Na hiyo picha uliyotuwekea ni mkutano wake na huyo waziri na sio kwamba wako airport wakati JK anafika.