Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,042
- 16,872
Hello jamiiforum,
Leo ni siku nzuri ya jumatatu ikiwa ni siku ya mwisho wa mwezi wa tatu , ama kweli sikukuu imekuja vizuri sidhani kama watu wamekopa kivile ili kufanikisha sikukuu hii muhimu Kwa wenzetu waislamu.
Kwenye Mada,sikuzote nasemezana na kuwaongelea wanaume,nyuzi zangu zinahusu wanaume haswa under 35 lakini ni kwa all men
Tabia nzuri ni sifa nzuri,
Utaambiwa fulani ni mpole,mnyenyekevu,mkarimu na mtaratibu.
Hakika utapendwa na kukubalika na jamii na watu wengi utaheshimika,na kuhesabiwa kama mmoja wa Watu muhimu.na hapa utajiepusha na mengi kama kwenda jela,kesi za mara Kwa mara na matatizo yasiyo ya lazima
Lakini ukweli ni kwamba huo ni mwanya wa watu kukufanyia mambo yenye kukuumiza kwani mara nyingi mtu atatumia udhaifu wako kukufanyia yasiyofaa.
1.Ni rahisi mtu kukucheleweshea malipo kwa kuona anakumudu,kwani anakujua siyo mkali wala mkorofi.
2.Mtu anaweza kukuazima kitu,pesa n.k na asirudishe Kwa wakati kwakuwa anajua wewe ni mnyenyekevu hutasumbua ikiwa ni pamoja na kujimilikisha vitu vyako.
3.Ni rahisi kukuta mchizi yupo sebuleni kwako anapiga stori na mkeo ,kajaa tele Kwa kigezo ,eti alikuwa anakusubiri.kwa shida isiyo ya muhimu.
4.Ni rahisi wafanyakazi wako kutofanya kazi Kwa usahihi au kujiamulia vitu bila ruhusa yako Kwa kigezo cha upole wako (utasikia boss mzungu tu)
5.Ni easy tu mkeo kupiga Stori za kimbea mtaa wa pili hadi saa tano za usiku ukiuliza mume hana taabu.(Utasikia, mume wangu hana wivu)
6.Lakini hata wanao kuna muda wanaweza kuchukua vitu kama PC yako yenye taarifa muhimu, usafiri wako na vitu vingi kwe kigezo mshua hana noma .
7.Ni rahisi mtu fulani kuongezewa malipo au nyongeza fulani kulingana na misimamo yake,ila wewe utaambiwa vumilia kuna vitu tunarekebisha.
8.Ni rahisi Sana mke kukusaliti,kwani anajua hata ukijua atajiliza na kutoa machozi kisha wewe ndio utageuka kumbembeleza.
Wakuu tabia nzuri ni mfano mzuri na maisha bora ,utasifiwa, utaheshimika kinafiki,lakini ukweli ni kwamba mwanaume unapaswa kuwa na maamuzi na misimamo thabiti.yaani kuna kosa mkeo akifanya ukimuangalia tu anajua hapa usalama mdogo.
Lakini ni vyema pia huko makazini na vibaruani kwetu ukajulikana ni mtu wa aina gani ili watu wasicheze na wewe.
Ukipata pesa miliki manati hapo kwako,hii inazungumza lugha kali sana,onesha mamlaka kwenye familia na Jamii inayokuzunguka.
Jela, mahabusu na vizuizi ni kwaajili ya mwanaume,acha uoga wa kindezi. Siku moja amka usiku wa manane ,fyatua manati yako halafu kesho ukiulizwa ,sema nilihisi kuna watu wasio na nia njema walikuja Kwa Nia ya kuiba.utaheshimika
Nawatakieni sikukuu njema