- Thread starter
- #41
Watanzania tunajipenda sana mku. Ukiona simba kala majani ndo ushangae. Ni shida ya usafiri tu ndo inafanya watu tujazane humo mana unakaa kituoni masaa 2 bado hujapata usafiri unategema nifanyeje? Watu wengi mabasi kiduchu!!!!!!!!!!!!!Ndomana narudia tena haya matatizo yako kuanzia uongozi,hadi sisi raia
Ova