KabisaKwani daladala zimefungiwa?? Mnaona mwendo kasi imejaa mnan'gan'gana tu kujijaza....yawakute ya kuwakuta
hahahaha pole sana
nacheka hayo maneno yako, pole sana jamaniDada usicheke, saa hii ningekuwa sina mkono wa kushikia uume wangu kisa nauli ya 650. Yaani nikisikia mtu anasifia hayo mabasi natema mate chini.
Daah mimi hua nakomaa mwanzo mwisho mpk kieleweke lkn iwe isivyo nahakikisha sipendi gari za umma mkuu.
nacheka hayo maneno yako, pole sana jamani
Hivi mnayotumia hayo mabasi hamna ustaarabu wa kuona hili limejaa uliache liende?Sasa nashauri kuwepo na wasimamizi katika vituo vya mwendokasi ili waangalie usalama na idadi ya abiria wanaoingia lasivyo siku milango ikiachia na kubwaga watu itakuwa majanga.
Wanajaza abiria,? Au abiria wanalazimisha kuingia wenyew! Maana habebwi mtu kutupiwa ndani, bali anapanda kwa hiari yake mwenyew..Mwendokasi ilitakiwa watu wakae level seat tu Kama wa ku simama abiria wasizidi 6 lkn kwa sababu ya urohoo wa kupata pesa ndomana wanajaza abiria mithili ya nyanya kwenye tenga!
Ova
Ndomana narudia tena haya matatizo yako kuanzia uongozi,hadi sisi raiaWanajaza abiria,? Au abiria wanalazimisha kuingia wenyew! Maana habebwi mtu kutupiwa ndani, bali anapanda kwa hiari yake mwenyew..
Washafeli haoKama wiki hii sijui magari ya mwendokasi yamepungua!!, asubuhi na jioni abiria ni wengi kupita kiasi. Abiria anaweza kukaa mpaka zaidi ya saa 1 kusubiri kupanda bus.
kwa kweli asante sana kaka sjui nimepatia jinsia?Asante my dear kucheka nako kunaongeza muda wa kuishi na kupunguza stress. Have a great day my dear young sister.
kwa kweli asante sana kaka sjui nimepatia jinsia?
Maana huwezi kuniambia mtu ka abood anaweza kukosa mabasi kama Mia mbili hivi ya kutoa huduma paleHivi kwa nin serikali isiweke wawekezaji wengine kwenye huo mradi ili washindane na huyu wa sasa hivi?
Mwendokasi ilitakiwa watu wakae level seat tu Kama wa ku simama abiria wasizidi 6 lkn kwa sababu ya urohoo wa kupata pesa ndomana wanajaza abiria mithili ya nyanya kwenye tenga!
Ova
Mkuu umeongea point sana mm huwa na mashaka sana uiamara wake alafu ata Yale mabasi yaliyoungwa Aisee huwa naogopa sana kukaa sehemu iliyoungwa nahisi ipo siku usemacho kitakuja tokeaKwa wanaoishi kule njia ya Kimara ndo watumiaji hashwa wa mabasi ya mwendo kasi.
Shida ya mabasi haya nikujaza sana watu hadi milango inashindwa kufunga maana mlangoni hakuna wakumwambia mtu mwingine asiingie bali kila mtu kufosi kuingia hata kama nafasi hakuna.
Ma driver wa mabasi haya wao ni kulazimisha tu milango ifunge kwa nguvu na kuwapa wasiwasi abiria ndani haswa wa mlangoni.
Lakini sio kwamba abiria wanapenda kujazana kama kuku bali ni shida ya mabasi kuchukua masaa mengi hadi saa moja kuona lingine.
Sasa nashauri kuwepo na wasimamizi katika vituo vya mwendokasi ili waangalie usalama na idadi ya abiria wanaoingia lasivyo siku milango ikiachia na kubwaga watu itakuwa majanga.