Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.

Yani wew bana inaonekana unapenda kuteseka
Something unatakiwa ukubaliane na hali na umove on though it hurts
Sasa utaumia na kulia lia mpaka lini mkuu
Wake up and move on
Ghaiiiii
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Kiufupi achana nae..jibu alilo kupa linatosha kukueleza kwamba anampenda mwingine na si wewe tena.

Chukua maamuzi chap ili siku moja aelewe wewe ulikua ni mwanaume,acha kulia lia...mwanaume ni mtu mwenye thamani sana kwa dunia ya sasa
 
She told me she want to be alone
She want to be busy with studies
And she need time .

So nimeamua kuachana nae
 
Hivi kuna wanaume bdo wanapenda hv?wanaumia sababu ya mapenzi?basi mm ntakuwa mtu wa ajabu sana maana huyo moyo sinaga

Nshadet na wanawake zaidi ya 10+.. weupe weusi wenye chura,wembamba...wenye sura kali,wenye sura za kawaida ila SIJAWAHI kumpenda hta mmojawapo tho nilikuwa nawajali...sio kupenda

Kuna mmoja juzi kati hapa nimeenda kwake sasa maongez maongez tukaishia kudinyana,sasa wkt nimepumzika nipate nguvu ya kusepa,kakaja kabwana kake huko kakaingia ndani kakagonga mlango..yule manzi kufungua mwanamme moja kwa moja ndan..alivyonikuta kitandan akaanza kulia..manzi asianze kumkana...mm nikajikuta nacheka nikavaa nikasepa zangu like nothing happen..yule manz akipiga simu napokea vzr tu na namuulizaga,vp,mume mwenzangu hajambo
 
She told me she want to be alone
She want to be busy with studies
And she need time .

So nimeamua kuachana nae
Na si kweli kwamba anahitaji kua peke yake! Bila kujua alichofanya kwa nini hakukwambia anahitaji kua peke yake

Yaani kua na mwanamke chuoni ni hatari sana maana mimi nimepitia hiyo maisha ya wadada walioko chuoni,ni washenzi wa kufa na wakija mtaani baada ya kugongwa na maisha na kazi ngumu ya kupata ajira hua wanarudi tena kututafuta,mimi hapa nina mmoja alinileteaga swaga za hivyo hivyo nikamuacha,kamaliza chuo na ameolewa,aliyemuo nadhani maisha hayapo poa sana na ni jambo la kawaida,yeye mwenyewe huyo mwanamke wa kipare hajapata kazi mwaka wa tatu sasa toka atoke chuoni,ana ki saloon cha kike mtaani. Ananitafuta kila wakati,na hata hapa ninapoandika ujumbe huu amenitafuta siku tatu tu nyuma akiomba tukutane
 
Msikilizishe wimbo wa nenda salama wa Mac voice,,then tulia!! Muombe Mungu maumivu yataisha,Najua unapitia kipind gan maana na mm niliyapitia hayo!! Jiweke bsy futa kumbukumbu zake zote !!
 
Hivi kuna wanaume bdo wanapenda hv?wanaumia sababu ya mapenzi?basi mm ntakuwa mtu wa ajabu sana maana huyo moyo sinaga

Nshadet na wanawake zaidi ya 10+.. weupe weusi wenye chura,wembamba...wenye sura kali,wenye sura za kawaida ila SIJAWAHI kumpenda hta mmojawapo tho nilikuwa nawajali...sio kupenda

Kuna mmoja juzi kati hapa nimeenda kwake sasa maongez maongez tukaishia kudinyana,sasa wkt nimepumzika nipate nguvu ya kusepa,kakaja kabwana kake huko kakaingia ndani kakagonga mlango..yule manzi kufungua mwanamme moja kwa moja ndan..alivyonikuta kitandan akaanza kulia..manzi asianze kumkana...mm nikajikuta nacheka nikavaa nikasepa zangu like nothing happen..yule manz akipiga simu napokea vzr tu na namuulizaga,vp,mume mwenzangu hajambo

Hongera kwa kumliza mwanaume mwenzio

Nimefanya mno ubaharia
Mpaka muda huu Nina wanawake tofauti tofauti
Huyu anaeniliza Ni mwanamke niliempenda mno katika hao wengi ( hii IPO kwa wanaume wote)
Ndo nilipanga nimtambulishe awe mke wangu then nifunge hesabu kwa hao wengine.
Natumai nimeeleweka.
 
Msikilizishe wimbo wa nenda salama wa Mac voice,,then tulia!! Muombe Mungu maumivu yataisha,Najua unapitia kipind gan maana na mm niliyapitia hayo!! Jiweke bsy futa kumbukumbu zake zote !!
Asante mkuu

Nimejikuta hata michepuko siitaki Tena
 
Na si kweli kwamba anahitaji kua peke yake! Bila kujua alichofanya kwa nini hakukwambia anahitaji kua peke yake

Yaani kua na mwanamke chuoni ni hatari sana maana mimi nimepitia hiyo maisha ya wadada walioko chuoni,ni washenzi wa kufa na wakija mtaani baada ya kugongwa na maisha na kazi ngumu ya kupata ajira hua wanarudi tena kututafuta,mimi hapa nina mmoja alinileteaga swaga za hivyo hivyo nikamuacha,kamaliza chuo na ameolewa,aliyemuo nadhani maisha hayapo poa sana na ni jambo la kawaida,yeye mwenyewe huyo mwanamke wa kipare hajapata kazi mwaka wa tatu sasa toka atoke chuoni,ana ki saloon cha kike mtaani. Ananitafuta kila wakati,na hata hapa ninapoandika ujumbe huu amenitafuta siku tatu tu nyuma akiomba tukutane
Vijinga sana hivi vibinti

Wanavyosema baadhi ya member kuwa nitafute mwanamke mwingine sio kweli
Coz ninao ila mood imekata.
 
Update

Nashukuru kwa michango yenu na ushauri wenu

Nimefanikiwa kumrudisha huyu mwanamke kwenye himaya yangu

Na utafiti wa ki- IT nilioufanya, nimegundua hakuna mimba yoyote iliyotolewa ila ilikua Ni mkakati wa kunirudisha katika msitari na kunifanyia niachane na michepuko mingine

Nawashukuru nyote

NB: Tuwapende wanaoonesha kutupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
.Mwanamke mwenzangu anaetoa mimba namchukulia tu kama muhuni.....achana nae huyo bro ameshakuchoka tena sana anatafuta njia kukuacha.....madem wapo wengi sana sana tena wanaojielewa.....sa hv tulia usikurupuke kutafuta mwanamke haraka....kaa tulia kweli kweli utapata tu mwanamke anaejielewa
 
Update

Nashukuru kwa michango yenu na ushauri wenu

Nimefanikiwa kumrudisha huyu mwanamke kwenye himaya yangu

Na utafiti wa ki- IT nilioufanya, nimegundua hakuna mimba yoyote iliyotolewa ila ilikua Ni mkakati wa kunirudisha katika msitari na kunifanyia niachane na michepuko mingine

Nawashukuru nyote

NB: Tuwapende wanaoonesha kutupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha acha kujifariji kijana. Wewe kama unampenda endelea kuwa naye tu ila usitufanye na sisi kama wewe. Sie akili bado tunazo.
 
Usijali kalisheshe by the time uko 30's na kuendelea utajilaumu sana why uliteseka hivyo wakati ungeweza tu kumpiga chini!
Huyo hakupendi sio hivyo tu bali anakudharau ukibaki nae hakuna rangi hutaacha kuona huko mbele,
 
Back
Top Bottom