Uhusiano wa Viganja na Mapenzi.

Wasukuma ndo wanatabia hizo, sio kwenye mapenzi tu,,kwa mtu yeyote hata kama hamfahamiani, ye atataka kukupa mkono.
 
mleta mada: good that you're married, lakini ukitembelea register za waganga utashangaa "married" wanavyodominate. God bless you. kama wewe si mmojawapo HONGERA!
Ujumbe wangu ni rahisi tu: WATANZANIA TUACHE UVIVU - KATIKA KILA NYANJA. Mada hii ni kiashirio cha kupenda shortcuts ktk mambo mbalimbali.
 

mhm jamani, kwani kupeana mkono sio part ya salamu toka miaka nenda rudi....y sasa mwataka kuihusisha na mapenzi? ama wewe ulitaka msalimiane mmetumbiliana macho tuu?

kuhusu ulaini kweli kiganja kilaini kunaleata stimu kwenye yale mambo ya kikubwa haswa pale anaposhika dushelele. sio ganja komaa mbaya inakuwa anakuchubua bwana....so in short hakikisha unaviganja laini ili kumdatisha mwanaume ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…