Uhusiano wa Tanzania na China ukoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa Tanzania na China ukoje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Dec 6, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wachambuzi wa mambo ya siasa, diploasia na uchumi.

  Hivi sasa taifa a china sio tu ni taifa kubwa kwa viwanda bali ni taifa lenye soko Kubwa. Hivi sasa chna ndiio nchi yenye Soko kubwa la smartphone . Imeipita marekani ( Soma china is now the world's largest smarthphone market)

  Sasa zaidi ya soko hilo la vifaa vya kitekniki inamaana china ina potential ya soko kubwa la bidhaa yeyote ile kama tukipata access. tumeona mataifakama ya France, UK na hata US sasa yanakimbilia kubembeleza yapewe mwanya kwenye soko la china. Yaani sasa hivi china ni mtegenezaji na mnunuaji mkubwa wa bidhaa.

  Sasa napenda kuuliza, kuhoji nini msimamo , sera na vision ya taifa letu na mahusiano na china Kibishara, kiuchumi....

  • Wizara ya mambo ya nje na balozi wetu china wana mchango gani wa kufatufa na kuwahabarisha watanzania masoko na bidhaa zetu zinazowezakuingia soko la china
  • Ni bidhaa gani ambayo Tanzania tunaiuzia china kwa kiwasi na kwa thamani kubwa?.
  Nawasilisha
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ni wa kirafiki zaidi na kindugu zaidi. nenda karikoo ukaone walivojichanganya. hadi baadhi yao ukiwauliza makabila yao wanakwambia zaramo, dengereko na wengine wanasema kabila yangu ni kwete wakimaanisha kabila ya mkulu wetu.
   
 3. a

  arigold JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Mwenye akili haaambiwi ona

  Wa China wameishikia kila sehem na kila nyanja ya serikali ya Tanzania na ninaposema kuwa kila sehem I mean KILA idara ya serikali unayijua wewe

  Haikatawi kuwa na mahusiano na marafiki lakini imekuwaje mpaka mmewaingiza chumbani?


  Kama kuna mtu anabisha basi tazama infllkuence ya wachina kwenye kila idara ya kila wizara kuanzia Utumishi mpaka Ulinzi na Usalama
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,966
  Trophy Points: 280
  Influence zao kivipi?

  Wameajiriwa humo?

  Funguka zaidi...
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ukiwaombaomba huna option! Bado kidogo watawaletea mpaka ma secretaries toka beijing
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Cheap labour Mkuu. Ndio maana yake.
   
 7. a

  arigold JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  kwenye kila kitu

  jiulize tripu zinazofanywa na watu wa treasury china zinakuwa na concessions zipi?

  basically they own us. Hata wazungu hawakutuown like the Chinese do
   
 8. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Basically China owns the whole Africa now, not only Tanzania, but in Tanzania it is too much, and I am sure there are a lot of illegal Chinese migrants in our country, sadly our government knows & they act like they don't know!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  serikali legelege mnategemea nini kingine zaidi ya kuwa watumwa.
   
 10. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huu ni ulegelege wa serikali au uwendawazimu wa CCM?
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Majuzi nimemuona mchina anaendesha gari ya serikali yenye namba STK karibia ni zimie!
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wewe eliza watu tunaotoka jimbo la kawe tukiongozwa na kamanda wetu Mdee,hatujibu hoja kwa matusi!
   
 13. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Wengi wanatembelea gari zenye namba za ubalozi(Diplomatic Plate Number) za kufoji... Ili kuepuka usumbufu wa trafic police na kupitisha magendo...na hakuna anayejali.Yani Tz basi tu.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Magamba wanakuambia ni wawekezaji, ilobaki ni kuwekeza ikulu rais awe mchina
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  cheap labour mpaka kwa kazi ambazo hata mtu ambae hajakaa darasani anafanya?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko ya hali kama hii waTZ ndo mnauwezo wakuliondoa na kulimaliza kabisa kwakupiga kure ktk chaguzi zinazofanyika kila baada ya miaka 5 kwakuwaondoa madarakani hawa wanaokumbatia ujinga unyanyasaji na ukandamizaji wa waTZ wenzetu
   
Loading...