"Uhusiano wa Mapenzi unaoanzishwa na Mwanamke..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
Mara nyingi huwa haudumu kama ule unaoanzishwa na mwanamume, na hi inatokana na dhana za wanaume wengi amambao huamini mwanamke anapomfuata na kumtongoza basi hajatulia au ana kasoro fulani, kwahyo hata akimkubalia anajua atakuwa wa muda mfupi tu.
-Utafiti huu uliofanyika huko nchini Afrika Kusini chini ya taasisi mmoja ambayo inahusika na maswala ya uhusiano na usuluhishi.Ulisema Nanukuu..
--"Ukitaka kujua ukweli wa swala hili angalia idadi ya wanaume na wanawake wanaoomba uchumba na urafiki wa kimapenzi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, kiukweli wengi wao ni wanume na hii inatokana na dhana hiyo hiyo iliyojengeka miongoni mwa watu katika jamii..

-Nukuu iliendelea kusema..hii husababisha wanawake wengi kutokuwa na chaguo sahihi la mtu wa kuwa nae maishani. Na wale ambao hufanikiwa katika hili ni wale wachache ambao hutumi mbinu zao maalumu za kuwatega wanaume ili waweze kuwatongoza" Mwisho wa nukuu..

SOURCE:Sun set magazine.
 
mmh!! tungelipata na mashahidi huku kwetu tungeliweza kulinganisha matokeo ya tafiti hiyo na uhalisia wa mazingira tuishiyo...
 
Ndio maana nikaileta humu ndani, kwhyo ngoja waje..
 
mmh!! tungelipata na mashahidi huku kwetu tungeliweza kulinganisha matokeo ya tafiti hiyo na uhalisia wa mazingira tuishiyo...
mtani, mimi nisingekuwa wa "old school" ningekuanzisha halafu tuone kama usingedumu, lol!
 
Nataka nijue test ya mkwe ili mwanangu atakapoenda kwake nijue kama anaenda kufaidi au ameula wa chuya.

Ha ha ha...aisee Mama Matesha asipite hapa....

Halafu hizi mbwembwe mpwa sijui kama ushachonga ufunguo wa spea
 
Mara nyingi huwa haudumu kama ule unaoanzishwa na mwanamume, na hi inatokana na dhana za wanaume wengi amambao huamini mwanamke anapomfuata na kumtongoza basi hajatulia au ana kasoro fulani, kwahyo hata akimkubalia anajua atakuwa wa muda mfupi tu.
-Utafiti huu uliofanyika huko nchini Afrika Kusini chini ya taasisi mmoja ambayo inahusika na maswala ya uhusiano na usuluhishi.Ulisema Nanukuu..
--"Ukitaka kujua ukweli wa swala hili angalia idadi ya wanaume na wanawake wanaoomba uchumba na urafiki wa kimapenzi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, kiukweli wengi wao ni wanume na hii inatokana na dhana hiyo hiyo iliyojengeka miongoni mwa watu katika jamii..

-Nukuu iliendelea kusema..hii husababisha wanawake wengi kutokuwa na chaguo sahihi la mtu wa kuwa nae maishani. Na wale ambao hufanikiwa katika hili ni wale wachache ambao hutumi mbinu zao maalumu za kuwatega wanaume ili waweze kuwatongoza" Mwisho wa nukuu..

SOURCE:Sun set magazine.

Sipendagi research wanafanyia nchi nyingine alafu inasemea dunia hasa hizi za mahusiano......wangekuja bongo waone wademu wanavyotokea wanaume na mpaka wanafunga ndoa......hapo sijawamention marioos maana wao asilimia kubwa hutokewa
 
Ha ha ha...aisee Mama Matemu asipite hapa....

Halafu hizi mbwembwe mpwa sijui kama ushachonga ufunguo wa spea

Hahahah mama Matesha hapitagi mitaa hii. Mungu yu mwema.

Ushauri wako niliufanyia kazi. na komeo za ndani nshazitoa.
 
Back
Top Bottom