Uhusiano wa kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa kimapenzi

Discussion in 'Love Connect' started by KiuyaJibu, Sep 4, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  [FONT=Fixedsys]Habari zenu wana-JF wote na wale wanaotembelea tovuti hii,naomba nichukue nafasi hii kusema hili kwa mara ya kwanza hapa ndani ya JF.
  Ninahitaji msichana mrembo ambaye nitaanza naye uhusiano ambao utatupeleka katika uchumba na hatimaye kama tutaelewana na kukubaliana basi nitafunga naye ndoa na kuanzisha familia yetu pamoja.
  Ninaomba awe na sifa zifuatazo:
  1.Awe ni mzuri wa sura na tabia pia;
  2.Awe ni muumini wa dini ya kiislamu;
  3.Awe ni mtu wa kujishughulisha(muajiriwa au kajiajiri);
  4.Awe na urefu kuanzia futi 5 na kuendelea;
  5.Awe anajua kusoma na kuandika.
  Hizo ndizo sifa za msingi kwangu,mambo mengine ni ya kawaida tu;naomba kwa yeyote ambaye anajali katika hili ani-PM.Kwa mawasiliano zaidi.
  Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote ambao watakuwa na lolote kuhusiana na ombi hili.Bye for now.[/FONT]
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  All the best broda!
   
 3. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Haya bwana mafanikio mema....
   
 4. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri mkuu
   
 5. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Nmependa hiyo statement kama anajua kusoma na kuandika.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 6. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2014
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  adakiss23, kwa nyakati hizi hiyo ni sifa muhimu sana.
   
 7. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2014
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,026
  Likes Received: 2,513
  Trophy Points: 280
  Allah anasema tusikaribie zina ndugu yangu. Be warned.
   
Loading...