Uhusiano wa jina na mapenzi

[emoji23] wafipa oyee
 




Nafanya utafiti ukikamilika nitaleta formula nzima inakuwaje kuhusu hii uhusiano wa jina na mapenzi
 
Nachojua Mimi kuna uhusiano mkubwA herufi za majina kuendana na mapenz ya kwl MF Helen na hesbone,maulid mariam,zarina na nasibu yaan MTU unayedate naye herufi zenu za majina ziendane kama natania Fanya karesearch kadogo kwa marafik na ubavu zao sio mahawar..
 
Ngoja nifanye research nione ila umeona picha juu hapo ? Hiyo ina asilimia kubwa sana nimegundua
 
Hakuna lolote hapo,hiyo huwa ni coincidence tu katka maisha.acheni kupiga ramli zenu za kiafrica.
 
Hii Kitu ina Ukwelii Kiasi Flanii.Mimi Nikikutana na Mwanamke anaitwa Rose,Rachel..Mara zote Uwa Nafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…