Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
HahahahahahaHapa nasubiri aliyewahi kuwa na jina kama langu nijione
Jaribu kuendelea utagundua jina au majina yanayokuelewaJina moja tu ndio nimewahi kujirudia
Iman tu no factsHabari za asubuhi wana JF !!
Mimi binafsi niligundua kuna uhusiano wa jina na mapenzi,pia nimejaribu kuuliza na kuwafuatilia baadhi ya rafiki zangu nikaona kuna ukweli fulani juu ya hili. Ingawa sijajua kanuni yake inakuwaje lakini nadhani itakuwa masuala ya numerology.
Uhusiano huu wa jina ni kuwa inatokea kama wewe ni mwanaume kuna wenye majina fulani ya kike huwa lazima atakuwa anakupenda, au ukiwa mwanamke kuna wenye majina fulani ya kiume huwa wanatokea kukupenda.
1. Mfano kwa rafiki yangu mmoja nilipochunguza na aliponipa maelezo ikaonekana kila alipokutana na akina Asnath,Martha,Monica wote walionekana kuvutiwa nae.
2. Rafiki yangu mwingine ikaonekana kila alipokutana na akina Angel,Juliana walivutiwa nae.
3. Mimi niligundua akina Neema,Josephina,Irene,Pendo nilipokutana nao walionekana kuvutiwa nami
4. Na wengine kama watatu ikawa hivyo ingawa nimesahau majina waliyoniambia.
Sasa hebu jaribu kukumbuka kama umeshawahi kuwa na uhusiano na wanawake/wanaume wenye majina ya kufanana hata kama ni vipindi tofauti au kama umewahi kugundua kama kuna majina fulani yaliyojirudia mara kwa mara wamewahi kuonekana kuvutiwa na wewe kisha utuambie hapa.
Siyo iman jaribu kufuatilia utaona hii iko proved ila kanuni tu ndiyo cjaijuaIman tu no facts
Hapa nazungumzia majina yale ambayo huitokeza zaidi ya mara 3 basi hao ndiyo hutokea kukupenda na si jina lijitokeze mara moja tuJe kwa anna, julianna, mwajuma, happy, neema, husna, alice, Sophia, Deborah, felister, anita, mariam, ketty, lilian..n.k wanaochanganyachanganya inakuwaje.
Mimi maria bwana limejitokeza mara 4, neema mara 3 piaHapa nazungumzia majina yale ambayo huitokeza zaidi ya mara 3 basi hao ndiyo hutokea kukupenda na si jina lijitokeze mara moja tu
Asanteee nadhani umeelewa asante kwa mrejeshomm akina merry huwa wananisumbua sana,
Asanteeee kwa mrejesho na hongera kwa kutambua wakoMimi maria bwana limejitokeza mara 4, neema mara 3 pia
wote uliwapa mchezo au vipi ??hamis,lilijrudi na kassim lilijirudia,,wanaume walio kuwa serious kuniona n Muslim pekeee ..na nilikuja kuolewa na Kassim hili,limejirudia mara 3 na kila mmoja analia mpka leo angenioa
Watakuja tu kusemaingekuwa vizuri kama na wanawake nao wangesema wanakutana na majina gani ya kujirudia wakitongozwa na vijeba mbalimbali,
Wait for Loice, if you find her give us feedbackDated 2 mamas by the name Loice, consecutively. Different countries, different nationalities. Both were my neighbours.
Never really thought much of it. But if there's any Loice in here, with some behind, let's get it on and see.
Asante kwa mrejesho Neemahamis,lilijrudi na kassim lilijirudia,,wanaume walio kuwa serious kuniona n Muslim pekeee ..na nilikuja kuolewa na Kassim hili,limejirudia mara 3 na kila mmoja analia mpka leo angenioa
Sawa Mr T-FORMULAR asante kwa mrejeshohiyo ni kweli mie akina beatrice na elizabeth kwa kifupi mwanamke akiwa na t kwenye jina lake ni rahisi kunipenda mimi naita T-FORMULAR
Hahahahahahahawote uliwapa mchezo au vipi ??