ni kweli Wameru wa Arusha na Kenya hawasililizanihapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
Waha wanasikilizana na wahutu wa burundi na rwanda hata mila na desturi zinafanana.
hapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
Hata wachaga na Wakikuyo hawasikilizani hata mila zao ni tofauti na za wachaga
Kwa kukusaidia Wachaga na Wameru wa Tanzania ndiyo wanaosilikizana kwa lugha hadi mila zao ni moja
Kabila la Chaga linajumuisha tonation 11 za lugha inawezekana hata wameru nao wangekuwa katika hao kama Mchili au Chifu wao angekubali kujiunga na Chaga Kingdom wakati huoSwali langu kwako, kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga kama wanasikilizana na Wamachame ambao wanajiita Wachaga? Au kwa nini Wamachame hawasikilizani na Warombo au Wakibosho wakati wote wanaitwa/wanajiita Wachaga?
Wameru wa Tanzania wanasikilizana na wachagga wamachameni kweli Wameru wa Arusha na Kenya hawasililizani
Kabila la Chaga linajumuisha tonation 11 za lugha inawezekana hata wameru nao wangekuwa katika hao kama Mchili au Chifu wao angekubali kujiunga na Chaga Kingdom wakati huo
Sina hakika saana, kama wana matatizo ya masikio,ila kazi ya masikio ni kusikia.(Unajua nini...Wa Rombo na Wakibosho hawasikilizani lakini wote wanajinasibu kuwa ni wachagga,,,lipi jema?Wote kuitwa Wameru ilhali hamsikilizani au muitwe majina tofauti na huku mwasikilizana?)hapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
(Unajua nini...Wa Rombo na Wakibosho hawasikilizani lakini wote wanajinasibu kuwa ni wachagga,,,lipi jema?Wote kuitwa Wameru ilhali hamsikilizani au muitwe majina tofauti na huku mwasikilizana?)ni kweli Wameru wa Arusha na Kenya hawasililizani
We wacha kuanika uhayawani wako. Makabila hayakubuniwa na wageni bali wao walitenganisha makabila kwa mipaka yao bandia ambayo hata hivyo tumeihalalisha.Kwa hiyo kwa maelezo yako unakubalina na mimi na kile ninachoamini siku zote kwamba HAKUNA kitu kama Kabila la Kichaga Dunia hii? Na badala yake kilichopo ni makundi mbalimbali ya watu yaliounganishwa na Wageni na hapa Wazungu kwa lengo la kututawala Waafrika?
Na hapa ni Tanzania nzima vivyo hivyo kama vile hakuna kitu kama Kabila la Wahaya au sijui Wasukuma au sijui Wanyakyusa wote hawa ni matokeo ya Ukoloni aidha Waarabu au Wazungu!
wameru hawaelewani hata kidogo..upo sahihi kabisahapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
Ngongo ukiondoa "n" ya kwanza imabaki gongo. Bila shaka umepiga hiyo kitu ha ha ha.Kwahiyo unataka kuniambia Zitto ni Mrundi.
Nikikutana na wachaga nawaambia live hakuna kabila la wachaga. Ila kuna machame, kibosho, uru, marangu n.k. na hakuna lugha ya kichaga daimaSwali langu kwako, kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga kama wanasikilizana na Wamachame ambao wanajiita Wachaga? Au kwa nini Wamachame hawasikilizani na Warombo au Wakibosho wakati wote wanaitwa/wanajiita Wachaga?
Ngoja nikueleweshe kwa mfano kiswahili n mkusanyiko wa lahaja 10 na zaidi mfno kipemba,kimtangata wanaweza kufanya mawasiliono kutokana na kushea misamiati, matamshi, sarufi na muundo wa sentesi sasa chukulia kikibosho, kimachame, kimarangu wanashea izo sifa nilizotaja hapo juu na ndio maana wanaesabika kama kundi moja. Ni mtazamo wangu nipo tayari kurekebishwa.Nikikutana na wachaga nawaambia live hakuna kabila la wachaga. Ila kuna machame, kibosho, uru, marangu n.k. na hakuna lugha ya kichaga daima
Ok. Jibu haya:-Ngoja nikueleweshe kwa mfano kiswahili n mkusanyiko wa lahaja 10 na zaidi mfno kipemba,kimtangata wanaweza kufanya mawasiliono kutokana na kushea misamiati, matamshi, sarufi na muundo wa sentesi sasa chukulia kikibosho, kimachame, kimarangu wanashea izo sifa nilizotaja hapo juu na ndio maana wanaesabika kama kundi moja. Ni mtazamo wangu nipo tayari kurekebishwa.