Mkuu, kwa mfano baba yako angefariki dunia ukiwa bado mdogo ungekuwa shoga kwa hiyo!!? Ebu acha kauli kama hizo. Pia kaa ujue wenzio waliolelewa na mama pekee hawakupenda wala hawakuchagua iwe hivyo wamejikuta tu. Na huo utafiti wako hauna ukweli wowoteWakuu kama inavyojieleza hapo juu, kutokana na ongezeka kubwa la mapunga huku mitaani nikaamuaa kufanya ka research kidogo na nilichogundua ni kwamba watoto wengi wa kiume ambao hulelewa na mama tu bila uwepo wa baba ndo huwa wanaangukia kwenye hii dhambi ya ushoga.
Unadhani kwanini?