Zinavunjika kila cku. Hata sasa hivi kuna ndoa ya mtu inavunjika. Msiwaone watu kwa nje wana raha. Humo ndani kwao ni jehanam. Furaha inapatukana popote pale, inategemea tu ya kwako ipo wapi
Pole aisee...irudishe banaa una miss kile cha asubuhi.Safi sana! Kama vile yangu Mimi ipo kuleeee! Ahsante
Well, kabla ya yote napenda kusema naandika thread hii kwasababu ya mada nyingine iliyoanzishwa hapa MMU ikikosoa wanawake classy eti wao hawaolewi kwasababu ya tabia zao tofauti ambazo bila shaka zinawatisha hao wakosoaji.
Hapa swali la kwanza kujiuliza ni je,... ndoa/harusi ni moja ya priority ya mwanamke classy? Sasa hivi opinion kuhusu kuolewa na masuala yote ya ndoa yamebadilika sana na inaonyesha kadiri mwanamke anavyozidi ku-advance kielimu na kifedha hupendelea zaidi kupata kilicho bora na hapa huja suala la mwanaume yupi atamfaa na si mwanamme yoyote yule hata kama umri unaenda.
Kwani ndoa ni nini hata ionekane mwanamke fulani si mkamilifu kisa hana mume?
Huko katika maskani za watu maskini hasa mijini, wanawake classy husemwa vibaya kwasababu ya maisha waliyochagua. Wanasemwa hawaolewi kwasababu wanachagua saaaaana mwisho hujikuta umri umeenda. Lakini hao wanawake classy wao huwaza tofauti kabisa kuhusu dhana ya umri. Wao huwaoni umri kama kigezo cha kujitupa kwa mwanaume yoyote tu.
Nyie mnaopinga lifestyle ya wanawake classy hamuekewi kitu kimoja kuwa wanawake classy hutegemea mambo makubwa toka kwa mtu atakaye date naye. Hapa si pesa tu.......wanawake classy wanavutiwa pia na mwanaume anayeishi kibunifu sio mambo yale yale daily......its boring man.
Mwisho, kama unapenda kuwa na mwanamke classy acha kuwaza mabaya kuwahusu kwasababu haisaidii lolote.....jambo la msingi acha kuishi maisha kimazoea kuwa mbunifu kwasababu hapo ndipo chanzo cha attraction.....yani utakuwa na mvuto kwao si kulalamika na kuwatusi.
One Love.
Sio kweli.....wanaume wengi huwaogopa na kuwahofia kwasababu wanaume hao wanajua hawana sifa za kuwa nao.
Thanx Chief, my mistake. Nime-struggle sana kukumbuka hata jinaProf Anna Tibaijuka...
Thanx Chief, my mistake. Nime-struggle sana kukumbuka hata jina
anajiamini, ana elimu yake level yoyote, anajua vipaumbele vyake, anajipenda, anaishi kizunguMwanamke 'classy' ndio yukoje?
Kuishi kizungu ndio kuko vipi?anajiamini, ana elimu yake level yoyote, anajua vipaumbele vyake, anajipenda, anaishi kizungu
Idimi na data
Nikikutajia baadhi ya majina ya wanawake wa hapa Tz ambao nawaona ni "classy women" je utaelewa sifa zao?
Well, labda kati yao ni hawa.......Modesta Mahiga, Maria Sarungi na Irene Kiwia.
Vipi hapo umeng'amua lolote maana nimekueleza kuhusu Chimamanda and you don't seem to know her.
anajiamini, ana elimu yake level yoyote, anajua vipaumbele vyake, anajipenda, anaishi kizungu
Mwanamke classy ni ambayeMwanamke 'classy' ndio yukoje?
Mwanamke classy ni ambaye
-Anajiheshimu na kuheshimu wengine.
-Responsible for her actions and herself (anajitunza, anajipenda etc)
-Independent (uwepo usiwepo maisha kwake yanaenda tu)
-Smart ( unaweza ukaongea nae maswala ya siasa, technology, michezo, uchumi na mkaelewana because she tries to keep herself updated with current affairs.
-Confident (Anajitambua, hana wivu wa kitoto..)
-Ana lugha ya ukarimu/upole (hamna kelele na matusi kila saa)
-Fun and funny (huwezi kuboreka ukiwa naye)
-Mature (anajua kuhandle situations kama mtu mzima sio kulialia tu)
Mwanamke classy ni ambaye
-Anajiheshimu na kuheshimu wengine.
-Responsible for her actions and herself (anajitunza, anajipenda etc)
-Independent (uwepo usiwepo maisha kwake yanaenda tu)
-Smart ( unaweza ukaongea nae maswala ya siasa, technology, michezo, uchumi na mkaelewana because she tries to keep herself updated with current affairs.
-Confident (Anajitambua, hana wivu wa kitoto..)
-Ana lugha ya ukarimu/upole (hamna kelele na matusi kila saa)
-Fun and funny (huwezi kuboreka ukiwa naye)
-Mature (anajua kuhandle situations kama mtu mzima sio kulialia tu)
Nilitegemea hilo swali......japo kwa upande mwingine ni rahisi kunielewa namzungumzia yupi.
Mwanamke "classy" ninayemzungumzia hapa ni yule aliyejijenga kielimu na kifedha na mwenye mtazamo wa hii kitu tunaita "feminism".
Mfano mzuri ni Chimamanda Ngozi Adiech. Huyu ni Nigerian author na feminist. Idea zake na lifestyle yake ina reflect mawazo yangu.
Je mmeelewa wadau wawili mlio uliza hapo mwanzo.
Nilikua najibu aliyeuliza mwanamke classy ni yupi. Nafikiri aliyeanzisha uzi haelewi maana ya "classy" lady.Kwa hiyo wanawake wenye sifa hizo ndiyo hawaolewi?