Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 131
- 162
ok.πJana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..mππ
TikTok wamuachie nanigen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Yaani hawa ni kisangaTikTok wamuachie nani
Kuna jamaa akinunua shuka hazifuliwi hadi apate demu mpyaJana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..mππ
Una mashuka mawili tu kama mfungwa wa "maximum security"Jana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..mππ
gen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe nadhifu ili uwe na akili timamu bwashee π
TikTok wamuachie nani
Kuna jamaa akinunua shuka hazifuliwi hadi apate demu mpya
Una mashuka mawili tu kama mfungwa wa "maximum security"
Wewe mhehe una vituko πππππgen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Unafua shuka...unasubiri likauke ndipo utandike tena kitanda...!!!Au we manetu ghetto kwako hamna mashuka?? Unalala chini au??