Though hatuwezi kuwa na jibu kulingana na experience but we can think about it kufwatana na uelewa, imani n.k, kama kichwa kinavyoeleza si kitu kigeni masikioni mwako au pengine umewahi kushuhudia mwenyewe baadhi ya wagonjwa dakika za mwisho kabla ya umauti kuwafika huwatuma watu wanaowauguza kuwachukulia maji ya kunywa though wengi wao huwa hata hawafanikiwi kuyanywa yale maji, process ya mpaka mtu kutokwa na roho inaambatana na energy kubwa ambayo pengine hupelekea hadi mtu kuhisi kiu; najaribu tu kuwaza je mwenzangu unawaza nini??
Hivi huwa hamuoni ni kupoteza muda kwa this kind of post? Huwa nashangaa sana aisee kwa matumizi haya ya Mb....siti ya kwanza hapa karibu na dereva
SIE watu wa IMAAN unaambiwa process ya kutoka roho sawa sawa na umchukue MBUZI alafu ACHUNWE ngozi yake... akiwa HAI...
pia roho hutoka kwa uchungu wa hali ya juu sana
mb zangu mwenyew tena za chuoHivi huwa hamuoni ni kupoteza muda kwa this kind of post? Huwa nashangaa sana aisee kwa matumizi haya ya Mb....
KIIMANI:
Roho ya mtu inapoacha mwili huwa Mara nyingi haitaki mtu ashuhudie hivyo anapokutuma kalete hiki au kile(Mara nyingi huwa maji) ni njia/janja ya kukutoa ili uhai umtoke. Ndo maana mara nyingi unapokuwa unarud ndio utakuta anamalizikia kukata roho!.
Swadakta Mkuu Sakaratul Mauti uchungu wake haina mfano.Kwa imani ya dini ya kiislam na mafunzo yake hili jambo limeelezwa. ...kwamba wakati wa kutoka roho mwanadam yeyote hupata kiu kikubwa sana inavyosemekana hata kama ataletewa bahari nzima kwa wakati ule haiwezi kuondosha kiu hile.
Wallahi mungu yupo na nguvu zake tunaziona .....
Acheni utaniAisee nahisi kiu...nipeni karatasi na kalamu.
Jomoni nitammiss Mumu