Hapo bado lakini kwa uchache wa viwango vyakeMkuu naamini wewe umenizidi Mambo mengi sana, Sasa nakushangaa ni Kama bado hiujui dunia maana Mambo yote uliyoyataja hapo juu hayapo dunia hii
Wewe una date na mishangazi ya humu. my waifu wako naye ana date na bodaboda wake, mtaponea wapi?[emoji3064]Mtani unaota?
Hivi unajua nyie wana ndoa ndo mnaongoza maambukizi?
Uliza why?
Wewe una date na mishangazi ya humu. my waifu wako naye ana date na bodaboda wake, mtaponea wapi?
Mjomba yupi mtani.. Kupata ni... ?Mtani hivi ni kweli mjomba yuko nyuma ya nondo ?
Ujumbe upo hapaNgono salama sio kuvaa kondomu kila wakati ni kuwa mwangalifu unachanganya roho yako na nani.
I love this..škwa kila mmoja, sio kutuma jumbe za kunakili kwa toka kwenye mitandao ya kijamii
[emoji419][emoji375][emoji173]Uzi ushaanza kutiwa UNAJISI..jamani sio kila nyuzi za kuchangia[emoji52]
Wenye hatia wamejawa na mashaka na kutafuta sababu za kingaUkitaka hayo tengeneza dunia yako mkuu